Breaking News

TASWIRA MBALIMBALI ZA KUWAKARIBISHA MWAKA WA KWANZA 2012 KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. JOHN MJINI DODOMA

Hapa ilikuwa ni game kati ya mwaka wa kwanza na continue, ambapo mwaka wa kwanza walionyesha umahiri wao
Wengine walikuwa wanacheza Volleyball
Wakina Bakari model walikuwepo
Man Mbuzi
Hapa ni jioni ndani ya ukumbi wa MH
Kikundi cha ngoma za jadi kinachojulikana kwa jina la Hiari Ya Moyo ambacho nacho kilitoa burudani ndani ya ukumbi
Hapa mchizi kutoka kikundi cha Hiari Ya Moyo akifanya yake
Vijana wakicheza on stage
Hawa ndio wanakamati waliosababisha yao katika sherehe hiyo
Pasquina
Mzee wa Zilipendwa akijitambulisha
Kijana kutoka kamati ya ulinzi na usalama James Mwakimonga
Mofu J
Elias
Mzee Jeffy
VC akifungua mziki
VC akiwakaribisha first year pamoja na kuwahusia kujituma katika masomo yao
Hapa ndio mziki umeishafunguliwa na wanakamati wakijimwayamwaya
Waweza sema mapacha ila ni marafiki
Mwinyi The Blogger