Mgeni rasmi raisi mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, Muheshimiwa Benjamini Mkapa aliwataka wahitimu hao watumie vizuri elimu walioipata huko waendako, pia aliongezea kusema kwa wale wanafunzi waliobakia chuoni hapo ni vizuri watumie mitandao kimasomo zaidi katika kutafuta "material" mbalimbali sio kuchat katika "social network" kama facebook kwa muda mwingi, ndio tupo kwenye ulimwengu wa utandawazi lakini utandawazi utumike vizuri. Pia alikipongeza chuo katika jitihada za kukikuza Kiswahili kupitia CHAWAKAMA.
SCIENCE SOCIETY WAKIFANYA YAO