Breaking News

Walter Chilambo kuimba Gospel, Kurudia wimbo wa Raymond, BSS, Wasanii anaowakubali



THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 TimesFM kuchagua ngoma 5 kali wanazopenda na kupiga interview kuhusu Music, Fashion & LifeStyle. Show inaruka kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Lil Ommy. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.