Breaking News

NEW ALBUM RELEASE: WEUSI - AIR WEUSI



 (Tanzania, Ijumaa March 12 2021); Baada ya ukimya wa muda mrefu, kundi maarufu la muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania WEUSI warudi na project mpya.


Kundi hilo linaloundwa na Joh Makini, Niki Wa Pili, G Nako na Lord Eyes waachia rasmi album yao mpya iliyopewa jina AIR WEUSI; project ya nyimbo 14 iliyobeba mahadhi ya Hip HopBongo Fleva na Afro Pop.

Watayarishaji wanaojitokeza mara kwa mara ndani ya AIR WEUSI ni pamoja na Nahreel, S2Kizzy, Goncher Beats na Luffa. ‘AIR WEUSI’ sasa inapatikana rasmi kwenye digital platform zote za kusikiliza na kupakua muziki duniani.

Kwa taarifa zaidi juu ya album ya AIR WEUSI rejea Taarifa rasmi (Press Release) iliyoambatanishwa hapa chini.

AIR WEUSI:
STREAM ON DIGITAL PLATFORMS: 

FOLLOW WEUSI: 

AIR WEUSI TRACKS (LINK):

FOR MORE INFORMATION CONTACT:
STARGAZE MANAGEMENT
(+255) 767 088 892.

Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.