PATA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA PANDE TOFAUTI TOFAUTI NDANI NA NJE YA NCHI. PIA UNAWEZA KUTANGAZA NAMI TUKIO LAKO MUHIMU KAMA SHEREHE ZA HARUSI, HAPPY BIRTHDAY, GRADUATION NA NYINGINEZO KWA BEI POA. WASILIANA NAMI KUPITIA 0754667930 AU 0653599393. NYOTE MNAKARIBISHWA.

Friday, April 18, 2014

TANZANIA'S BEAUTY HAMISA MOBETO DOMINATING THE FASHION INDUSTRY IN KENYA

Most of us might know her but am pretty sure you have came across one of her photos somewhere. Well Hamisa Mobeto is a radio host and Model from Tanzania, she was featured on Pulse magazine sometime back and Inow fully understand why she is Tanzania’s favorite celebrity.

Although Hamisa is not known that much in Kenya, she is a friend to most Kenyan beauties just like the Mdee sisters, she is also a friend and model to one photographer, buoart. As most complain about our half dressed socialites, Tanzanians are dressing decent and are still dominating the fashion industry with a bang! Hamisa is among the upcoming or should I say, have made it, in the tough world of juggling jobs when a celebrity.

Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

(Photo’s) Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa GLOBAL TV ONLINEKutoka kushoto: Wasanii Dk. Cheni, Bi. Mwenda, Profesa Jay na Wema Sepetu wakishiriki kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa GlobaL TV Online jana.Wema Sepetu na Profesa Jay wakifunua vitambaa wakati wa uzinduzi wa GlobaL TV Online jana katika ofisi za Global Publishers Ltd.GlobaL TV Online baada ya kuzinduliwa rasmi.Mkurugenzi wa Global Publishers & General Enterprises Ltd, Eric Shigongo pamoja na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu wakikata keki wakati wa uzinduzi huo.Mkongwe wa sanaa ya maigizo Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ akijiandaa kufungua shampeini.Shigongo akigonga ‘cheers’ na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia) na Oscar Ndauka ambaye ni Mhariri Kiongozi Magazeti Pendwa (katikati).SOURCE: http://www.globalpublishers.info
 Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

JUA CALI atangaza nia ya kuingia katika Filamu.Kwa Tanzania tumeshazoea kuona baadhi ya wasanii wa muziki wakiingia katika kuigiza au wa kuigiza wakiingia katika muziki. Mfano mzuri ni Masanja mkandamizaji aliyekua muigizaji wa vichekesho na kuamua kua msanii wa muziki wa injili. Mfano wa pili ni H Baba aliyeamua kuongeza kipato chake kwa kujiingiza katika filamu na bila kusahau watu kama Jay Moe, Ay, TID ambao walikuwaga kwenye Filamu ijulikanayo kama “GIRLFRIEND” ambayo ilitokaga miaka ya nyuma kidogo.

Habari mpya kutoka kwa majirani zetu wa Kenya ni kua msanii Jua Cali ameamua kutangaza wazi kua ana nia ya kuanza kua muigizaji. Jua Cali anayeamba na wimbo wake unaoitwa “Baba Yao” aakihojiwa na redio moja nchini kwao alisema “Me naona mbali you know? Miaka tano ijayo najiona nikiingia katika sector ya movies. Nimekuwa nikitaka kuingia katika sector hii ya filamu tangu zamani. Sababu naamini ukiwa creative wa kutosha waeza fanya chochote”
 
   Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

DOWNLOAD: Country Boy, Tash Viva, Cannibal, Leo Mysterio, P The MC & Gway – Tunaleta Kwere[ New Song ]Baada ya Life Goes on iliyoshirikisha wasanii kama Kala Jeremiah, G Nako, Da Hustler na wengine, hii ni release nyingine toka kwenye project ya kubwa kuliko ambayo inategemewa kuwa project ambayo itashirikisha wasanii wengi kuliko zote zilizoshawahi kutokea nchini, “Napenda kufanya hivi kwasababu inatoa nafasi kubwa kwa wasanii mbalimbali kutoa mawazo yao kwa jamii, pia inatengenezea wasanii wadogo nafasi flani nzuri katika industry, tunashukuru sana media zote kwa kutusupport,na jamii nzima kwa kutupokea”, alisema John B, Wimbo huu umetengenezwa na John B ndani ya studio za Grandmaster Arusha.
http://old.hulkshare.com/fyedys6o3rpc
  Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Thursday, April 17, 2014

Sean “Puffy” Combs a.k.a P.Diddy kutoa hotuba (Speech) katika Graduation ya Howard UniversitySean “Puffy” Combs aka P.Diddy ambae hivi sasa ameamua kurudi kwenye jina lake la zamani la kisanii “Puff Daddy” ambae nae pia alisoma katika university hiyo, imetangazea rasmi kuwa Tarehe 10 ya mwezi ujao kwenye mahafali (Graduation) ya wanafunzi waliomaliza chuo cha Haward cha huko nchini Marekani. Diddy atatoa speech kama iliyo ada kwa shule za nchini humo kwa watu maarufu kama hao kuweza kushare “inspiration success stories” za maisha yao. Siku ya jana chuo hicho kilitangaza kua msanii P Diddy atakua mtu pekee atakayetoa hotuba kwa wahitimu katika chuo hicho. Pia katika siku hiyo chuo hiko kimetangaza kua kitamtunuku Diddy Degree ya Humanities (Doctoral Degree of Humanities).

Sababu kubwa ya Diddy kuchaguliwa kua mzungumzaji katika siku hiyo ni kwamba aliwahi kuwa mwanafunzi wa chuo hicho akaacha (Drop Out) na kwa sasa ana mafanikio makubwa kimuziki na kibiashara. Diddy alichaguliwa kujiunga na chuo cha Howard mwaka mwishoni mwaka 1990 akisomea Degree ya biasgara (BA: Business Administration)

Baada ya uongozi wa chuo hicho kumtangaza Diddy kama mtoa hotuba, asilimia kubwa ya wahitimu walipinga uamuzi huo kwa madai kuwa Diddy ni bad influence kwa wanafunzi kutokana na mafanikio yake, lakini uongozi wa chuo hicho umegoma kutengua maamuzi yao. Baadhi ya watu maarufu walioacha chuo (Drop Outs) na bado wakaalikwa kua wageni rasmi katika Graduation za vyuo vikubwa huko Marekani ni “Bill Gates” na marehemu “Steve Jobs”.

Diddy ambae mwaka jana alifubgua kituo chake cha tv kijulikanacho kama “RevoltTV” ambacho kinadeal na entertainment peke yake, msanii huyu ameweza kupata zaidi ya watu milioni 20 (20 Million Viewers) nchini marekani peke yake. Bila kusahau Bad Boyz Records yenye wasanii wakubwa sana kwenye entertainment indusrty ya dunia, Sean John Clothing ambayo inauza kama Tommy Hilfigger, Gucci na kama kampuni nyingine za nguo, kinywaji “Diddy’s Drink” na chain ya Restaurants ijulikanayo kama “Justin’s” ambayo ni jina la mtoto wake wa kiume.

Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale

HATUA TISA ZINAZOKUWEZESHA KUUFANYA MWILI WAKO UZIDI KUWA MZURI NA MUONEKANO WENYE MVUTO.

1. Kuwa mrembo haimanishi kubadili uhalisia wako. jaribu kutokubadili uhalisia wako wa ngozi2. Jifunze kuwa mtu wa mazoezi na kuupenda mwili wako. hakikisha unafanaya mazoezi kwa ajili ya kuweka mwili sawa .3. Jikubali kwa namna unavyoonekana na jisifie pale inapowezekana4. Hakikisha unajua make up gani inakufaa na itayoweza kwenda na ngozi yako5. Kuwa mbunifu wa uvaaji wako kila siku unapotoka kwenda kukutana na marafiki au maeneo mbalimbali6. Jua nyakati za uvaaji wa mavazi yako. sio kuvaa tuu kwa sababu nguo ni ya bei ghali7. Jifunze namna ya kutembea kwa maringo yanayoendana na mavazi unayovaaa.8. Marashi ni kitu muhimu katika mwili wako ila chagua marashi yenye nakshi na harufu nzuuri.9. Na mwisho kabisa jisikie mwenye furaha na onekana mwenye tabasamu la mafanikio kila mara kwani tabasamu utengeneza uso wako katika hali nzuri kabisa. Ukizifuata hatua hizi Tisa zitakusaidia kuufanya urembo wako uwe mzuri zaidi na wenye kuvutia.
 
 Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale

[Video:Teaser] Tanzania All Stars – Miaka 50 ya Muungano
Zikiwa zimebaki siku chache tu tusherehekee miaka 50 ya muungano wasanii wa muziki wameungana na kutengeneza wimbo wa pamoja kwa ajili ya kusherehekea siku hiyo. Wimbo huu umewakutanisha wasanii wa nyimbo za Injili, Taarab na Bongo Flava. Wimbo umeandikwa na Ditto na Amini na kurekodiwa kwenye studio za Surround Sounds. Na hii ni video Teaser ya wimbo huo utaotoka siku za hivi karibuni.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

.