Breaking News

DOWNLOAD: Julio Batalia - Wabo [New Song]



https://mkito.com/song/12609?referrer=33d723903cc717afa68ec1339d2c36741c62517d

Mshiriki wa big brother Stargame Africa 2012 na msanii wa bongoflavour wa Tanzania Julio Batalia Leo Tarehe 25/july/2016..Amechia ngoma mpya ya Tano aliyoimba kwa lugha ya kingereza Kwa mara ya kwanza.. Ngoma inayoitwa ' WABO ' . Iliyotayarishwa na ma producer wawili.. Mmoja akiwa anaitwa Frankboimusic(Frank Mutta) Mtanzania anayeishi California ambaye anafanya Kazi na wasanii wakubwa Kama Designer na Gucciman, na producer machachari Christone ambaye yupo Kwenye studio za flavour records.  Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.