Breaking News

Rachel Njingo Mrembo mwenye vipaji rukuki


Ukiachilia mbali kucheza filamu mbalimbali Rachel B. Njingo anafanya vizuri pia katika modelling. Utaweza kumuona katika video ya wimbo wa PNC  - Yule Yule amecheza kama video Queen wa wimbo huo. Lakini kwa sasa amejikita zaidi katika filamu na ndoto yake kubwa ni kuja kufanya filamu moja na Jackline Wolper.
Rachel B. Njingo akiwa na Jackline Wolper. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.