Breaking News

DOWNLOAD: LAMECK DITTO - HERI YA CHRISTMAS (BRAND NEW SONG)



https://mkito.com/song/heri-ya-christmas/5122/bwi-20-6662

Msimu wa Christmas ndiyo unatufikia sasa na wimbo wa kwanza wa Christmas ndiyo huu hapa kutoka kwa Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania pia ni mwimbaji na mwalimu wa muziki Tanzania House of Talent. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.