Breaking News

DOWNLOAD: JAY DEE FT. DABO - FOREVER (BRAND NEW SONG)



https://mkito.com/song/forever-ft-dabo/4762/bwi-20-5622

Pakua wimbo mpya kabisa kutoka kwa Lady Jay Dee na Dabo. Jay Dee amehama kidogo kutoka style yake ya kawaida ya Zouk Rhumba na kuimba wimbo huu katika style ya Reggae. Amemshirikisha mdogo wake Dabo ambaye ni mshindi wa tuzo ya KTMA best reggae artist wa Tanzania mwaka 2013. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.