Breaking News

MREMBO MKALI WA BONGO MOVIE AZIDI KUTILIA MKAZO SWALA LA MCHUMBA ANAYEMTAKA!!! SOMA ZAIDI HAPA INAWEZA KUWA BAHATI YAKO

MTOTO mzuri kwenye kilinge cha Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila.



Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni jijini Dar, Irene alisema licha ya kuwa bado hajamuanika mpenzi wake lakini suala la dini, kabila kwake siyo ishu ya msingi zaidi anaangalia mapenzi ya dhati.



“Naangalia tu, mtu anayenipenda ananipenda kweli au anaigiza? Nikigundua ananipenda kweli, nampenda pia. Hata aweje huyo ndiye atakayekuwa wangu wa maisha,” alisema Irene.

SOURCE : GPL 

  Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale