Breaking News

Huyu Ndiye Yule Jamaa Anayetembea na Wale Mapacha Wanaoshea Kila Kitu


Ile habari ya wale mapacha wawili toka Australia wanaoshea kila kitu hadi kutembea na mwanaume mmoja inaendelea, na leo nimefanikiwa kumpata yule kidume ambaye yupo kimahusiano nao, kwa mujibu wao wamesema kuwa jamaa yao ni mwenye furaha kutokana na kuwa nao wote wawili kama wapenzi wake.

Hivi kweli hii inawezekana kutokea hapa Bongo..?






Mapacha hawa wenye miaka 28 mwanzoni walikuwa hawafanani sana kama ilivyo sasa, ilibidi wafanye upasuaji kwa ajili ya kufanikisha nia ya kufanana zaidi.

  Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale