Bexy Wamusic - Vanessa (official music video HD)
Baada ya kuachia audio kadhaa ikiwemo WAAMBIE alioimba na
msanii toka East Cost Team O Ten pia Ukisinzia rmx alioimba na msanii wa
music tz Diamond platinum & Queen Darling pia Lulu na Aibu. Sasa
ametoa video ya wimbo wake alioutoa hivi karibuni unaoitwa VANESSA ambao ni wimbo mpya wa bexy wamusic. Cheki video hiyo hapa chini:
Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.