DOWNLOAD: BEN POL Ft. VJ ADAMS, G NAKO - NITAFANYAJE (Ningefanyaje Remix)
The countdown is over! Baada ya wimbo wa Ben Pol ‘NINGEFANYAJE’ kuzitawala chati za Afrika Mashariki kwa muda, mfalme wa R&B Tanzania, Ben Pol ametoa Offical Remix ya wimbo huo "NITAFANYAJE" ikiwa ni collabo yake ya kwanza kufanya na msanii kutoka Nigeria VJ Adams ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa runinga ya Soundcity, pamoja na rapper wa WEUSI, G-Nako. Wimbo huu umetayarishwa na producer Erasto Mashine. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.