Picha za utengenezaji wa video mpya ya Ally Kiba nchini Afrika kusini
Alikiba amesafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kwenda kushoot video mpya. Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita. Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa kike.
Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.