Breaking News

DOWNLOAD: ANGEL BENARD - NUMBER 1 (BRAND NEW SONG)




Wimbo wa 7 kutoka kwenye album ya NEW DAY ya ANGEL BENARD unaitwa Number 1. Katika number one, anazungumzia tabia za Mungu zinazomfanya yeye kuwa namba moja kwake na hivyo anakuwa anasimulia habari zake. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.