Breaking News

DOWNLOAD: DK JOSE CHAMILION & BEXY WAMUSIC - JAMILA RMX ARTS



http://www.audiomack.com/song/mwinyi-blog/jamila-rmx-arts

Baada ya kutoa ngoma yake pamoja na video iliojulikana kwa jina laVanessa ambayo mpaka sasa bado inafanya vizuri katika mitandao na media hapa tanzania, msanii Bexy wamusic ametoa wimbo kama bonus kwa mashabiki wake ambao ni rmx ya wimbo wa msanii mkongwe toka nchini uganda Dk. Jose Chamelion pia nikawaida kwa Bexy wamusic kutoa rmx za aina hiyo alishawahi kutoa rmx ya wimbo wa msanii nguli toka Tanzani, Diamiond Platnum alioimba na Queen Darling unaoitwa ukisinzia. Bexy wamusic anaomba sana sapot toka kwa wadau wa music Tanzania. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.