Breaking News

DOWNLOAD: YOUNG KILLER - MTANZANIA (BRAND NEW SONG)



https://mkito.com/song/mtanzania/16245/bwi-20-32189

Katika msimu huu wa kampeni za uchaguzi wasanii mbalimbali wamekuletea maoni yao kuhusu kiongozi bora wa kupigiwa kura ni yupi. Msikilize YOUNG KILLER katika wimbo wake mpya iitwayo MTANZANIA akitoa maoni yake. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.