Breaking News

DOWNLOAD: JOOH HARAKATI FT. WALTER CHILAMBO - SEPTEMBER 14



https://mkito.com/song/september-14/16265/bwi-20-32241

"Nimefanya Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha yangu niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100%. September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki. Nakupitia Track hii nimeelezea Isikilize." Jooh Harakati - 2015. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.