Breaking News

DOWNLOAD: PIPI - Shauri Yako (New Song)



https://mkito.com/song/shauri-yako/14411/bwi-20-28651

Wengi wetu tunajua Pipi kutokana na hit yake aliyoimba na Barnaba ulioitwa NJIA PANDA. Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa PIPI amerudi rasmi kwenye muziki na kukuletea wimbo wake mpya kabisa uitwao SHAURI YAKO. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.