Breaking News

DOWNLOAD: Mr Tix ft Odiijambo-Kilililii (New Song)



http://www.audiomack.com/song/mwinyi-blog/kilililii


Pakua ngoma ya "Mr Tix" toka TLST crew yenye maskani pande za Mianzini Arusha akiwa amemshirikisha @Odiijambo toka Jambo Squad katika Ngoma kwa jina "Kilililii" ikiwa ni mkono toka @noizmekah chini ya @defxtro, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check kwa Nambari +255 762 164 241Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.