Breaking News

DOWNLOAD: HIsia - Keep You Warm (Audio)



https://mkito.com/song/keep-you-warm/14173/bwi-20-28339

Mshindani aliyewakilisha Tanzania vyema sana katika mashindano ya Tusker Project Fame HISIA anakuja na wimbo wake mpya uitwao KEEP YOU WARM. Hisia ambaye kazi nyingi amezifanya katika mfumo wa Soul amehama katika wimbo huu na kuingia katika reggae. Wimbo huu umerekodiwa nchini Kenya chini ya producer MGThank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.