Breaking News

Original Master Copy - Diamond na Khadija Kopa



https://mkito.com/song/nasema-nawe/13840/bwi-20-27813

Pamoja na kuwa wimbo mpya wa Diamond ulishfikia wengi kwenye mitandao inabidi kukubali kazi ya huyu kijana na kusikiliza Original Master Copy ya wimbo NASEMA NAWE aliyomshirikisha Khadija Kopa.


Pia furahia lyrics tamu kutoka kwa Diamond na Khadija Kopa.

VERSE 1
Halloooo
Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukoboka
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro
Uso mchana jioni si wajuz si tomorrow
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah!

CHORUS
Nasema naweee x3
Uso haya nasema nawe
Umezoea (nasema nawe)
Chezea chezea (nasema nawe)
Aaah!! Umezidi (nasema nawe)
Zidi (nasema nawe)
zidi (nasema nawe)

VERSE 2
Mmmmmhhh, mmmh
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa
Usio hiana fedhuri uongo umekuja
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa

CHORUS
Nasema naweee x3 (nawe nawe oh)
Uso haya nasema naweee
Nasema naweee x 3(nawew oh)
Nimechoka nasema nawee
Umezoea (nasema naweee)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Zidi (nasema naweeee)
Uso haya nasema naweee
Oooohhh!!! (nasema naweee)
Nasema nawee x 3 (nawew oh)
Nimechoka nasema nawee….
 
 Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.