Breaking News

WEMA SEPETU ATEMBELEA STUDIO ZA RADIO 5 JIJINI ARUSHA


Wema Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party iliyofanyika jana usiku tarehe 7/3/2015 jijini Arusha kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya kipindi na mwanadada huyo, Wanaonekana pichani ni team Wema.(Habari Picha na Pamela Mlollel wa jamiiblog)
Wema Sepetu akiwa anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema jiji la Arusha ni miongoni mwa majiji anayoyapenda, Mwanza ikiwa ya kwanza na Arusha ya pili, Kulia ni msanii Petiman a.k.a Wakuache.

Mkuu wa vipindi vya Radio5 kulia Mathew Phillip akiwa anakaribisha team Wema.



Msafara wa Wema Sepetu ukiingia kwa mbwembwe katika studio za Radio5 zilizopo njiro jijini Arusha.


Muonekano wa Wema Sepetu akiingia mjengoni akiwa katika gari la kifahari la wazi.


Meneja wa Wema Sepetu Martin Kadinda akiwa anatoa neno la shukran kwa wana Arusha kwa mapokezi yao makubwa.


Team mishemishe wakiwa na Wema Sepetu, kushoto; Mwanaisha Suleiman, Wema Sepetu, Mwangaza Jumanne na Hilda Kinabo wakishoo love.

Camera man wa Wema Sepetu akiwa anachukua matukio.

Mtangazaji mahiri wa kituo cha Radio5 Wilfredy akiwa katika picha ya pamoja na mwana dada Wema Sepetu.

Team wema wakiwa wanaondoka katika studio za Radio5.Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.