Breaking News

Bonge Moja la Show toka kwa Wa Tzii Classic Entertainment siku ya Pasaka


Watzii Classic Entertainment wanakuletea show kabambe ndani ya Morogoro - Madizini in Kikude Crown Comprex. Siku ya tarehe 5 Ya Pasaka. Ambapo utapata burudani kem kem toka kwa Wise One, Cham Bella, BX pamoja na Kanga Moja Original. Unakosaje sasa?! Tukutane kuanzia saa 2 usiku mpaka majogoo. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.