Breaking News

DOWNLOAD: YUZZO - (MC) EMCEE (Brand New Song)


Hii ni release ya kwanza kubwa kutoka kwa Yuzzo kutoka kundi la Wantengwa tangia ahamie nchini Norway kuendeleza muziki wake. Pamoja na kuwa sasa anafanya muziki wa Live kwa kiasi kikubwa bado hajasahau alikotoka na hapa anakuletea wimbo wake MC (Emcee) huku akikumbushia alikotoka kwenye roots zake za Hip Hop.

Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.