Breaking News

tiGO KIBOKO Yao Concert kuwasha moto Leaders Club Masaa machache yajayo.


Ni masaa machache tu yamebakia kufikia tamasha kubwa la mziki Tigo ‪#‎kibokoyao‬, Je ushanunua kifurushi chako cha wiki au cha mwezi? Hii si ya kukosaaa.
 Ni historia ya kipekee itakayo wekwa na Tigo music ‪#‎kibokoyao‬ concert tarehe 24/01/2015 katika viwanja vya Leaders Club, hii si ya kukosaa. Burudani itatolewa na Weusi AY, Mwana FA, Fid Q, Prof Jay, Shaa, Vanessa Mdee, Jux, Ben Pol, Linah, Shilole, Isha Mashauzi, Sikinde Band, Msondo Band, Yamoto Band, Christian Bella, Malaika Band, Ali Kiba na Diamond Platnumz. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.