Breaking News

LADY IN RED KUFANYIKA TAREHE 13, FB, 2015 AT COCO BEACH HALL



Ile fashion show ambayo hufanyika kila mwaka sasa imewadia, Lady in Red, itafanyika Coco Beach hall siku ya tarehe 13 mwezi wa pili mwaka huu ambapo kutakuwa na Red carpet kwa kiingilio cha buku kumi aka 10,000 chini ya usimamizi wa Mama wa mitindo hapa Tanzania Asya Idarous. Hivyo basi wale wenzangu na mimi wapenzi wa mambo ya fashion na mitindo hatupaswi kukosa tukio hilo. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.