Breaking News

AY kuachia video yake nyingine mpya hivi karibuni.


Msanii AY anatarajia kuachia video yake mpya hivi karibuni. Mkali huyu anayetamba ndani na nje ya nchi amewataka mashabiki zake wakae mkao wa kula yani wawe tayali tayali kuiona video hiyo. Hii ni baada ya kuwapa kionjo cha video hiyo kupitia account yake ya istagram. Ebu nawe icheki hapa chini.
A video posted by Ambwene AY (@aytanzania) on
  Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.