Breaking News

DOWNLOAD: WIISTA - NAIYE (NEW SONG)



https://mkito.com/song/naiye/9841/bwi-20-21512

Wiista baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu toka ajitoe Navy Kenzo na Kujiunga na NGOMA Entertainement arudi kwa kishindo na NAIYE, na amenukuuliwa akisema "2015 ni mwaka wangu, watu watalikumbuka jina la Wiista, wakae mkao wa kula...Video inakuja karibuni". Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.