Breaking News

DOWNLOAD: ANGEL BENARD - MIMI NA YESU (BRAND NEW SONG)



https://mkito.com/song/mimi-na-yesu/4122/bwi-20-4752

Ni wimbo unaoelezea jinsi ambavyo Mungu ni ukamilifu wa maisha ya mwanadamu. Na hivyo hakuna cha kuogopa wala wa kumuogopa humu duniani. Kila kitu kimetoka kwa Mungu, kinapatikana kwake na mwisho wa siku tuna kila sababu ya kutoogopa na kukiri kwa ujasiri kuwa yote yanapatikana kwake. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.