Breaking News

Alikiba, Chidi Benz, Chege kuonekana kwenye video ya Mr Blue "PESA"












Video ya "Pesa" imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next level, kwa mujibu wa picha za Behind The Scenes baadhi ya mastaa wa muziki kama Alikiba, Chid Benz, Chege na aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa Julio wanaweza kuonekana kwenye kichupa hicho. 

Kupitia Instagram Adam Juma ameshare teaser ya video hiyo na kuandika, "My job has nothing to with camera's its ART I paint what I see."

Now watch the video teaser below:
Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.