Picha za utengenezaje wa video mpya ya DARASA “SIO MBAYA”
Mtu mzima Darasa juzi kati alisafiri hadi mkoani Singida kwenda kufanya video yake mpya ya Sio Mbaya huku akiwa na Dir Hans Canna, Darasa anasema baadhi ya vipande vingine katika video hiyo vitamalizima jijini Dar es Salaam.
Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more updates from different places all over the world.