DOWNLOAD: Izzo Bizness - Walala Hoi (Brand new song)
WALALA HOI lyrics
Intro:
Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi
Chorus:
Walala hoi sisi ndio Walala hoi (Walala hoi) x 4
moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu (Walala hoi) x 4
Verse 1:
Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika (Walala hoi) /
tunakomaa maisha ni safari imani ipo bado sisi mbali tutafika (Walala
hoi) / tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea sisi home mali hatujakuta
(Walala hoi) / mama Yanga baba Simba upinzani babu ndani yani kila
dakika (Walala hoi) / kupinda ni sheria usishangae huku kwetu mbona
imeshazoeleka (Walala hoi) / hatujasoma dili chafu leta pesa babu hata
iwe dili ya kuteka (Walala hoi) / tunaonekana hatuna maana tunatengwa
kona zote twa dharaulika / majina yote sisi Vidampa wapumbavu wezi
majambazi yote wametupachika / Rhumba kali wewe utadata/ soma pata ondoa
shaka/ faster umenipata chafu tatu maisha karata/ maisha bondi kukosa
na kupata / jela nyummbani hakuna kuogopa sheli tunamoka/ sisi machizi
kama kaboka/ uchungu wa meno na kucha kamuulize Ulimboka /
Chorus:Repeat Verse 2:
Roba za mbao mtaani ni nani kaleta? (Walala hoi) / kulogana logana tu
bila sababu mtaani? (Walala hoi) / majungu fitina unafiki umbea na
chuki? (Walala hoi) / kazi ngumu tunapigika lakini ujira ni mdogo babu
(Walala hoi)/ toa kazi tumalize hatulazi kitu hapa sisi mwendo ni wa
CHAP-CHAP/ kwenye Bar hatukai zetu vilabuni yes sisi mwendo ni
MATAPU-TAPU / bila sababu tunakudiss tukijua umetuzidi sisi wala
hatukukwepeshi / chuki roho mbaya jadi yetu Mungu hapendi lakini sisi
tumerithi / kila time tupo simple watu wa Mingle mawazo yetu kwenye
Bingo dr.Kingo ngoma zetu ni Segere na Msondo / sisi ndio wachezeshaji
tuite Redondo / Rest in Peace James mtoto wa Dandu / hii game bado kwako
japo upo kando / big brother the Chase muulize Nando / kama Zay-B vile
watu wapo gado /
Chorus:Repeat Outro:
Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi x 3…hoi hoi hoi Walala … hoi hoi hoi Walala… hoi hoi hoi Walala.
Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more updates from different places all over the world.