Breaking News

Diva kutambulisha goma yake mpya ya masha Allah hapo kesho.



 

Mtangazaji makeke wa kike hapa Bongo, anaefanya kipindi cha Ala za roho cha clouds Fm Diva Loveness, ambae pia ni msanii wa bongo fleva. Kesho anatarajia kutambulisha wimbo wake mpya unaoitwa "Masha Allah" katika kipindi cha XXL.

Kama wewe ni mdau na shabiki wa Diva Loveness, basi kaa tayali hapo kesho kwa XXL. Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.