Breaking News

Alichosema Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa facebook kuhusu Video zinazofungiwa.



Amefunguka kwamba "Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be achieved?? ‪#‎Ni_Mtazamo_tu‬"

Huo ndiyo mtazamo wa Diamond platnumz kuhusu video za nyimbo mbalimbali zinazofungiwa nchini kama vile video ya kabinti special ya Dully na majanga ya snura na nyingine nyingi.  Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.