Breaking News

ALICHOKISEMA RAY C KUHUSU KUKAMATWA KWA X-BOYFRIEND WAKE

 
Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo:
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale