TASWIRA MBALIMBALI ZA KUWAKARIBISHA MWAKA WA KWANZA 2012 KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. JOHN MJINI DODOMA
![]() |
| Hapa ilikuwa ni game kati ya mwaka wa kwanza na continue, ambapo mwaka wa kwanza walionyesha umahiri wao |
![]() |
| Wengine walikuwa wanacheza Volleyball |
![]() |
| Wakina Bakari model walikuwepo |
![]() |
| Man Mbuzi |
![]() |
| Hapa ni jioni ndani ya ukumbi wa MH |
![]() |
| Kikundi cha ngoma za jadi kinachojulikana kwa jina la Hiari Ya Moyo ambacho nacho kilitoa burudani ndani ya ukumbi |
![]() |
| Hapa mchizi kutoka kikundi cha Hiari Ya Moyo akifanya yake |
![]() |
| Vijana wakicheza on stage |
![]() |
| Hawa ndio wanakamati waliosababisha yao katika sherehe hiyo |
![]() |
| Pasquina |
![]() |
| Mzee wa Zilipendwa akijitambulisha |
![]() |
| Kijana kutoka kamati ya ulinzi na usalama James Mwakimonga |
![]() |
| Mofu J |
![]() |
| Elias |
![]() |
| Mzee Jeffy |
![]() |
| VC akifungua mziki |
![]() |
| VC akiwakaribisha first year pamoja na kuwahusia kujituma katika masomo yao |
![]() |
| Hapa ndio mziki umeishafunguliwa na wanakamati wakijimwayamwaya |
![]() |
| Waweza sema mapacha ila ni marafiki |
![]() |
| Mwinyi The Blogger |
![]() |























































