DOWNLOAD: Wille - Noro [New Song]
Mabibi na mabwana ni furaha kumtambulisha kwako msanii mpya Wille akikuletea wimbo mpya #NORO chini ya usimamizi wa #RadiMusic. Wille ni kijana kutoka Kigoma mwenye makazi yake jijini Dar na ni muandishi, muimbaji na mkufunzi kutoka Music Mayday. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.