Tazama Interview ya Babutale kwenye #thePLAYlist na @Lilommy
The Playlist ni Show kali ya Weekend inayowashusha Mastaa kibao kuchgau
ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga stori nyomi kuhusu Muziki, Fashion
& LifeStyle. hili ndo jumba la mastaa ambapo zinatoka xclusive
stori na kuzagaa kitaa. Jua kuhusu maisha yao, jua michongo kibao.
Ni Kila Siku za Jumamosi kuanzia Saa 6 hadi Saa 8 mchana kupitia 100.5 Times FM. show inaongozwa na The Baddest Boi, Lil Ommy.
more info sogea: Twitter & Instagram @LilOmmy
Babutale awazungumzia Diamond, Madee, Mkubwa Fela, Ommy Dimpoz, Weusi, Ruby, Z Anto, Hakeem (Yazzy), Kanye West na wengine kibao kwenye interview hii. share na wapenda bongo fleva.

Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.