Rich Mavoko Kutoa Burudani Ndani ya Green Park Hotel Taveta Kenya.
Msanii huyu wa bongo flava "Rich Mavoko" akiungana na ma-dancer wake watafanya onesho la kukata na shoka pale Green Park Hotel iliyoko Taveta. Miongoni mwa vibao vitakavyoburudisha mashabiki ni Roho yangu, pacha wangu, Marry me, Follow follow na vingine vingi kwa KSH 300/= tu. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.