DOWNLOAD: WAKAZI - WANAWAKE WA DAR (BRAND NEW SONG)
Exclusive release kutoka Mkito.com - Msanii wa Hip Hop WAKAZI ambaye kwa muda mrefu amekuwa akiishi nchini Marekani huku akifanya muziki anakuletea single yake mpya iitwayo WANAWAKE WA DAR. Wakazi anasifa ya kuitwa "Bilingual Beast" kwakuwa anauwezo wake mkubwa wa kuchanganya lugha ya Kiswahili na Kiingereza katika mashairi yake. Mpaka sasa Wakazi ameshaachia Mixtape 3 na yuko mbioni kuachia album. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.