Breaking News

DOWNLOAD: JCB - MTOTO MKALI (BRAND NEW SONG)



https://mkito.com/song/mtoto-mkali-ghetto-love-feat-hisia/3339/bwi-20-2522

Hii ni ngoma mpya ya JCB Kutoka WATENGWA Kijenge Juu, ngoma inaitwa MTOTO MKALI (Ghetto Luv) imefanywa katika studio za Watengwa chini ya Daz Naledge na kufanyiwa Mastering na DX wa Noiz Maker. Featured kwenye huu wimbo ni Hisia kutoka Tusker Project Fame. Hii ngoma itapatikana katika Album mpya ya #YANIKAMBELEKABISA #YKMK ambayo itatoka hivi karibuni. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.