DOWNLOAD: ANGEL BENARD - NEW DAY (BRAND NEW SONG)
Wimbo wa 3 kutoka kwenye album NEW DAY ya Angel Benard, wimbo huu New day ndiyo unabeba jina la album. Katika huu wimbo siku ya jana inawakilisha "mambo yaliyopita" inaweza kuwa ni mtu, vitu, hali fulani n.k. Tunaiaga kwaheri na kukubali kuendelea na maisha yaliyopo mbele yetu. Hakuna kurudi nyuma. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.