DOWNLOAD: HISIA - MAWAZO ( AUDIO WITH LYRICS)
LYRICS
INTRO
Yeah, yeah,
Oh oh
VERSE 1
I see you looking so beautiful,
Standing Outside my door,
You’re saying you don’t wanna let me go,
Don’t wanna leave me alone,
Unanifanya kama mtoto,
Unavyonidanganya danganya,
And foolishly I let you into my heart again,
CHORUS
Usinione nalia, nina mawazo
Usinione nalia, nina mawazo,
Nimechoka, sitaki, sitaki tena kusota,
Usinione nalia, nina mawazo
Uh oh, uh oh, ohh,
Uh oh, uh oh, ohh oh oh ah ah,
Uh oh uh oh ohh,
Mawazo, mawazo mawazo.
VERSE 2
Mapenzi gani haya,
Ya kuumizana umizana tu,
Je huoni haya,
Unavyonitesa mwenzio,
Sijui kwanini,
I keep hoping that you’re gonna change,
But you’re the same,
I guess you really can’t teach an old dog new tricks.
CHORUS
BRIDGE
Nina mawazo x3
CHORUS
INTRO
Yeah, yeah,
Oh oh
VERSE 1
I see you looking so beautiful,
Standing Outside my door,
You’re saying you don’t wanna let me go,
Don’t wanna leave me alone,
Unanifanya kama mtoto,
Unavyonidanganya danganya,
And foolishly I let you into my heart again,
CHORUS
Usinione nalia, nina mawazo
Usinione nalia, nina mawazo,
Nimechoka, sitaki, sitaki tena kusota,
Usinione nalia, nina mawazo
Uh oh, uh oh, ohh,
Uh oh, uh oh, ohh oh oh ah ah,
Uh oh uh oh ohh,
Mawazo, mawazo mawazo.
VERSE 2
Mapenzi gani haya,
Ya kuumizana umizana tu,
Je huoni haya,
Unavyonitesa mwenzio,
Sijui kwanini,
I keep hoping that you’re gonna change,
But you’re the same,
I guess you really can’t teach an old dog new tricks.
CHORUS
BRIDGE
Nina mawazo x3
CHORUS
Msanii Hisia ambaye aliiwakilisha vyema sana nchi yetu katika mashindano
ya Tusker Project Fame mwaka jana anakaribia kuachia wimbo wake mpya
uitwao GIVE ME A CALL hapo tarehe 25 Octoba katika show ya live. Katika
kuusubiri wimbo huo tujikumbushe track yake ambayo imeshika chati nchini
Kenya kwa wiki 6 mfululizo iitwayo MAWAZO. Wimbo huu pia unapatikana
kama acapella, yaani vocal tu, ili wapenzi wake tusikie ni kwanini Hisia
aliweza kufanya vizuri vile kwenye mashindano ya Tusker Project Fame.
Kwa wale wote watakao taka kufika kwenye show yake itafanyika tarehe 25/10/2014 Alliance Francaise kuanzia saa moja jioni. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment. Stay connected with MWINYI BLOG