DOWNLOAD: Angel Benard - Need You to Reign (Brand New Single)
Wimbo wa kwanza katika album ya NEW DAY kutoka kwa ANGEL BENARD "Need you to reign" ni wimbo unaomuomba Mungu awepo katika maisha yake na amuongoze katika kila jambo. Wimbo huu umerekodiwa Mujwahuki Studios chini ya Producer Mujwahuki mwenyewe. Producer huyu pia alishawahi kufanya kazi na msanii Ben Pol katika wimbo wake wa Nikikupata. Nyimbo zote katika album hii zimetungwa na kuimbwa na Angel Benard.
"Angela Benard speaks through her music, she speaks Hope, Love, Truth and the Inseparable connection between God and Man." Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.