New Video: Amani - Oscar Nyerere & Dr Mfyuzi ft Ally Nipishe
Shaphii Omary (Dr. Mfyuzi) |
Video kwa ajiri ya kusisitiza mambo ya amani kwa nchi ya Tanzania na
Africa kwa ujumla,Vijana wawili shaphii omary(Dr. Mfyuzi) na Oscar Nyerere
wameona ni vyema watumie vipaji vya uigizaji wa sauti za hayati Baba wa
Taifa na Raisi Kikwete ili kutunza na kudumisha amani ya nchi yao
Tanzania na Africa kwa ujumla. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.