Graffiti Yangu Ya Leo Na Maneno Machache Kwa Wadau Wa Mwinyi Blog.
Mwinyi Ally Abuu |
Mwinyi Blog ipo kwa ajili ya habari za matukio mbalimbali, michezo, burudani kama miziki au vibao mbalimbali vya wasanii vitakuwa vinaachiwa pande hizi. Wewe kama msanii wa mziki unaweza kunitumia nyimbo pamoja na picha yako kwenye email yangu mwinyially39@gmail.com, nami nitaiweka kwenye blog ili watu waifahamu. Vile vile kama unatukio lako muhimu mfano harusi, birthday au sherehe nyingine yeyote pia unaweza wasiliana nami kupitia namba 0754667930 kama niko karibu nawe nakuja kuchukua matukio kama nipo mbali nawe basi utapiga picha za matukio na kunitumia kwenye email yangu niliyoitaja hapo juu. Pia kama unabiashara yako unataka ijulikane basi hapa ndiyo mahala pake usisite kuwasiliana nami. Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.