Breaking News

SHUKRANI JAZIRA

Mwinyi Ally Abuu
9 hours ago
Haikua kazi ndogo, wala haikuwa njia iliyonyooka bali ilikuwa ni njia yenye vikwazo na mabonde ya kila aina. Kutokana na kutokata tamaa na kumtegemea Mungu kwa kila jambo kazi hiyo ilifikia tamati. Kumshukuru Mungu ni suala lisiloepukika maana amenipigania toka nilipotoka mpaka nilipofikia, pia nakushukuru wewe ambaye kwa namna moja ulikuwa nami bega kwa bega ambapo mawazo yako na yangu yalinifanya nifike hapa nilipo. Sina cha zaidi niseme tu asante sana.
Unlike · ·