Breaking News

DOWNLOAD: ANGEL BENARD - LINDA MOYO WAKO (BRAND NEW SONG)


https://mkito.com/song/linda-moyo-wako/8942/bwi-20-17392

LINDA MOYO WAKO ni wimbo wa 8 kutoka kwenye album ya NEW DAY ya ANGEL BENARD: "Ni inspirational song ambayo inalenga kuonya na kushauri namna mtu mwenye ndoto au maono fulani yatatimieje. Ni maneno yenye faida kumsaidia mtu namna ya kuishi na watu 'si kila achekae akupenda, tabasamu ni mwamvuli kuficha yalo ndani ya mtu' sasa ili kujiepusha na tabu na watu, jua we ni nani, unaenda wapi na waliokuzunguka ni watu wa namna gani." Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.