Breaking News

DOWNLOAD: HISIA - MAWAZO ( AUDIO WITH LYRICS)



https://mkito.com/song/mawazo/2911/bwi-20-1861



LYRICS
INTRO

Yeah, yeah,
Oh oh

VERSE 1
I see you looking so beautiful,
Standing Outside my door,
You’re saying you don’t wanna let me go,

Don’t wanna leave me alone,
Unanifanya kama mtoto,
Unavyonidanganya danganya,
And foolishly I let you into my heart again,

CHORUS
Usinione nalia, nina mawazo
Usinione nalia, nina mawazo,
Nimechoka, sitaki, sitaki tena kusota,
Usinione nalia, nina mawazo

Uh oh, uh oh, ohh,
Uh oh, uh oh, ohh oh oh ah ah,
Uh oh uh oh ohh,
Mawazo, mawazo mawazo.

VERSE 2
Mapenzi gani haya,
Ya kuumizana umizana tu,
Je huoni haya,
Unavyonitesa mwenzio,
Sijui kwanini,
I keep hoping that you’re gonna change,
But you’re the same,
I guess you really can’t teach an old dog new tricks.

CHORUS

BRIDGE
Nina mawazo x3

CHORUS 
 
Msanii Hisia ambaye aliiwakilisha vyema sana nchi yetu katika mashindano ya Tusker Project Fame mwaka jana anakaribia kuachia wimbo wake mpya uitwao GIVE ME A CALL hapo tarehe 25 Octoba katika show ya live. Katika kuusubiri wimbo huo tujikumbushe track yake ambayo imeshika chati nchini Kenya kwa wiki 6 mfululizo iitwayo MAWAZO. Wimbo huu pia unapatikana kama acapella, yaani vocal tu, ili wapenzi wake tusikie ni kwanini Hisia aliweza kufanya vizuri vile kwenye mashindano ya Tusker Project Fame.
 
Kwa wale wote watakao taka kufika kwenye show yake itafanyika tarehe 25/10/2014 Alliance Francaise kuanzia saa moja jioni. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment. Stay connected with MWINYI BLOG